MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Pima Kila Unachofanya Kwenye Biashara Yako…
Kuna mambo mengi sana unayoweza kufanya kwenye biashara yako, lakini huwezi kufanya yote, huna muda huo wala nguvu hizo. Hivyo unahitaji kuwa na kipaumbele wa nini ufanye na nini usifanye, kwenye vile utakavyofanya, nini uanze kufanya kabla ya kingine. Kwenye kuchagua kipi ufanye, fanya kile ambacho unaweza kupima kwenye biashara