UKURASA WA 1300; Dhana Ya Kumaliza Kabisa Changamoto Zote…

By | July 23, 2018
Maisha ni mfululizo wa changamoto, kwamba ukimaliza changamoto moja, unakuwa umekaribisha changamoto nyingine. Dhana ambayo wengi wamekuwa nayo ni kwamba wanaweza kumaliza kabisa changamoto zote ambazo wanazo, kitu ambacho siyo kweli. Ndiyo maana njia yoyote ya mkato unayokutana nayo ya kutatua chochote kinachokukwamisha, haitafanya kazi. Kwa sababu njia ya mkato

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz