MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1301; Majuto Makubwa Sana Unayotengeneza Kwenye Maisha Yako…
Kama haupo makini na jinsi unavyoyaendesha maisha yako, utakuwa unajitengenezea majuto makubwa sana kwa baadaye. Majuto ambayo kinapofika kipindi unajutia, unakuwa huna tena la kufanya ili kubadili hali ilivyo kwa wakati huo. Muuguzi Bronnie Warre kwenye kitabu chake cha majuto matano ya watu wanaokufa, kupitia kuwahoji watu waliokuwa wanakaribia kufa,