MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kuwafanya Wateja Wasikutoroke…
Kwanza kabisa unapaswa kujua kwamba wateja halisi wa biashara yako wanafanya manunuzi ya kununua kwa hisia na siyo kwa fikra au mantiki. Pia unapaswa kujua kwamba wateja wananunua kwa sababu zao binafsi na siyo kwa sababu wewe unauza. Lakini pia unapaswa kujua, kwamba wateja watanunua kwako, kama wanavutiwa kufanya hivyo,