BIASHARA LEO; Uliwezaje Kuwashawishi Marafiki Zako, Hapo Ndipo Ilipo Siri Ya Kuwashawishi Wateja Wako…

By | July 27, 2018
Nianze na swali hili muhimu sana, je umewahi kuwashawishi marafiki zako au watu wako wa karibu wakafanya kitu fulani ambacho walikuwa hawajafanya na baadaye wakakushukuru sana? Labda uliwashawishi kwenda kula kwenye mgahawa fulani, ambao walikuwa na wasiwasi nao, ukawapa uhakika, wakaenda kula na baadaye wakakushukuru sana. Au labda ni kipindi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz