BIASHARA LEO; Anza Kufanya Mauzo Rahisi Kabla Ya Magumu…

By | July 28, 2018
Wakati mzuri kabisa wa kumuuzia mteja mgumu kununua kwako, ni baada ya kuwa umekamilisha mauzo na mteja mwingine. Unapokuwa umekamilisha mauzo unakuwa na hali ya kujiamini na unakuwa na ushawishi mkubwa sana. Hivyo kama una mteja ambaye ni mgumu kununua kwako, anza kuwauzia wateja ambao ni rahisi kununua kwako, kisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz