MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1306; Wakati Chuma Bado Ni Cha Moto…
Upo usemi wa waswahili kwamba wakati mzuri wa kukitumia chuma, yaani kuunda kitu kipya kutoka kwenye chuma, ni wakati chuma hicho bado ni cha moto. Huu ni ukweli kabisa, maana chuma kikiwa cha moto ni rahisi kukitengeneza utakavyo, lakini kikishapoa, kinakuwa kigumu kutengeneza utakavyo. Sasa hapa nataka kukupa sehemu mbili