UKURASA WA 1308; Usikubali Kipaji Chako Kiwe Kikwazo Kwako…

By | July 31, 2018
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba watu ambao wana vipaji vikubwa kwenye maeneo fulani, huwa hawafanyi vizuri kama wale ambao hawana vipaji. Unakuta kuna watu wana kipaji kikubwa sana, lakini wanaofanya vizuri kwenye maeneo hayo ni wale ambao hawana vipaji. Hii inaonesha kwamba, kwa wengi, kipaji ni kikwazo kwao kufanikiwa, badala ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz