BIASHARA LEO; Hamasa Yako Ni Muhimu Kuliko Unachouza…

By | August 2, 2018
Kosa moja ambalo wafanyabiashara wengi wanafanya pale wanapochagua biashara ya kufanya, ni kuangalia wafanyabiashara waliofanikiwa kwenye biashara fulani na kufikiri hiyo ndiyo biashara inayolipa. Lakini wanapoingia kwenye biashara hiyo, wanagundua siyo rahisi kama walivyoona kwa nje. Wanakutana na changamoto nyingi na hata wateja hawawi rahisi kuuziwa kama walivyofikiri. Rafiki, ukiona

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz