UKURASA WA 1310; Maisha Yasiyo Na Madhara…

By | August 2, 2018
Ukweli wa maisha ni kwamba, kama unataka kuishi maisha ya mafanikio, basi lazima maisha yako yawe na madhara kwa wengine. Lazima namna unavyoishi maisha yako kuibue hisia tofauti kwa watu tofauti. Lazima baadhi waone kama umechanganyikiwa na hujui nini unafanya. Wengine waone kwamba unajisumbua tu, hakuna mbali unaweza kwenda. Na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz