MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Miliki Matatizo Ya Wateja Wako…
Kabla hujakimbilia kupunguza bei kwenye biashara yako kwa sababu wengine wanapunguza bei, kuna hatua nyingi unazoweza kuchukua na zikaongeza thamani sana kiasi kwamba bei yako inaonekana si kitu kulingana na mteja anachopata. Moja ya vitu unavyoweza kufanya ni kuyamiliki matatizo ya wateja wako. Yale matatizo ambayo biashara yako inatatua. Mfanye