UKURASA WA 1312; Usifuate Sheria Ya Dhahabu, Fuata Sheria Ya Almasi…

By | August 4, 2018
Mahusiano yetu na wengine ni eneo muhimu sana la mafanikio yetu. Na kama Zig Zigler alivyowahi kusema, unaweza kupata chochote unachotaka kama utawasaidia wengi zaidi kupata kile wanachotaka. Sheria ya dhahabu imekuwa inachukuliwa kama sheria muhimu sana kwenye mahusiano baina ya watu. Sheria hii inasema watendee wengine kama ambavyo ungependa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz