BIASHARA LEO; Kabla Hujawauzia Wengine Bidhaa Au Huduma Yako, Wauzie Hichi Muhimu…

By | August 6, 2018
Umewahi kukutana na mtu ambaye anaweza kuuza kitu chochote kwa mtu yeyote. Yaani unaenda mahali, unajiambia kabisa kwamba hutanunua, lakini unakutana na mtu, na kwa jinsi anavyokupokea, kwa jinsi anavyokusikiliza, jinsi anavyokuelezea unachouliza, unajisikia vibaya kutokununua? Kama umewahi kuwa kwenye hali kama hiyo, basi unajua kwamba ulinunua kitu siyo kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz