MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1314; Unaponasa Kwenye Yale Yasiyo Muhimu…
Moja ya sababu kubwa kwa nini kila mmoja wetu anapaswa kuwa na orodha ya vitu atakavyofanyia kazi kwenye siku yake ni kwamba siku inavyoharibika huwa siyo rahisi kuonekana. Unachoshangaa ni siku yako imeisha, umechoka, lakini ukiangalia, hakuna kikubwa umefanya, hakuna matokeo mazuri uliyozalisha. Tunazungukwa na kila aina ya usumbufu, na