MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Mteja Wa Mfano Wa Biashara Yako…
Kosa moja wanalofanya wafanyabiashara wengi ni kuanzisha biashara zao kwa kujifikiria wao wenyewe, au kuangalia wafanyabiashara wengine wanafanya nini. Biashara yoyote inayoanzishwa na mtu kwa sababu anafikiria ananufaikaje na biashara hiyo pekee, au kwa kuwaangalia wengine wanaofanya biashara hiyo na kujiambia inalipa ndiyo maana wapo, lazima biashara hiyo ishindwe. Biashara