BIASHARA LEO; Usijiachie Kwa Sababu Biashara Ni Yako…

By | August 10, 2018
Kitu kimoja nakiona kwenye biashara za wengi ni kwamba, wengi hawaheshimu biashara zao. Mtu anapokuwa ameajiriwa ataheshimu sana ajira yake. Atawahi kufika kazini na ataondoka pale muda wa kutoka unapofika. Hatajipangia tu safari zisizohusiana na kazi kama anavyotaka mwenyewe. Na hata jamii itamheshimu, haitamtegemea aamue tu chochote, kwa sababu kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz