BIASHARA LEO; Ushindani Utaondoa Faida Yote Na Kukuacha Huna Kitu…

By | August 12, 2018
Upo usemi maarufu kuhusu biashara kwamba biashara ni ushindani. Sasa kama utaubeba usemi huo na kuingia kwenye biashara kwa kuamini kwamba unaweza kushindana, unaweza ukashinda, lakini utabaki na ushindi usio na maana. Ushindi pekee unaohitaji kwenye biashara ni faida. Na faida ni pale gharama zako zote mpaka mteja anapata anachotaka,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz