UKURASA WA 1320; Njia Pekee Ya Wewe Kupata Ukuu Kwenye Maisha Yako…

By | August 12, 2018
Karibu kila dini na falsafa ina mafundisho yanayotukumbusha kwamba tulikuja duniani tukiwa watupu na tutaondoka tukiwa watupu. Chochote tunachotafuta na hata tukijiambia tunamiliki hapa duniani, hatutaondoka nacho. Watu wanapata mali na wanazipoteza, watu wanakuwa na fedha nyingi na zinapotea. Na kwenye falsafa ya ustoa hatusemi umepoteza, bali umerudisha. Kwa sababu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz