MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Usivunje Mioyo Ya Wateja Wako…
Tabia ya binadamu ni moja, tunapenda kuamini vitu na kisha kuvizoea. Kadiri vitu vinakwenda kama tulivyozoea viende, maisha yetu ni mazuri. Lakini vitu vinapokwenda tofauti na tulivyozoea, wakati tumeshaweka matumaini yetu kwenye vitu hivyo, hapo ndipo mgogoro unapoanzia. Hivi ndivyo unavyopaswa kwenda na wateja wako kwenye biashara yako. Wafanye wateja