UKURASA WA 1322; Ukiuliza Kwa Nini Hutapata Jibu…

By | August 14, 2018
Kuna wakati watu wanafanya vitu ambavyo unashindwa kabisa kuvielewa. Unashindwa kuelewa kwa nini wamefanya kama ambavyo wamefanya, maana hukutegemea wafanye hivyo. Sasa njia mbaya kabisa ya kujua kwa nini ni kuwauliza kwa nini wamefanya walichofanya. Kwa sababu hakuna hata mmoja atakayekupa jibu sahihi kwa nini amefanya kile alichofanya, ambacho siyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz