BIASHARA LEO; Njia Pekee Ya Biashara Ndogo Kuishinda Biashara Kubwa…

By | August 15, 2018
Watu wengi wanapokuwa na biashara ndogo zinazoshindana na biashara kubwa huwa wanajiona kama wapo upande wa kushindwa. Huwa wanaona biashara kubwa kwa sababu ina rasilimali nyingi basi itawashinda kwa urahisi sana. Lakini ipo njia ya biashara ndogo kuishinda biashara kubwa, ambayo wala haihitaji gharama za ziada. Njia hiyo ni kutengeneza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz