BIASHARA LEO; Kisichoonekana Hakifikiriwi, Kisichofikiriwa Hakionekani…

By | August 18, 2018
Kwa kiingereza wanasema out of sight out of mind. Kama hukioni kitu, huwezi kukifikiria. Na pia kinyume chake itakuwa sahihi, kama hufikirii kitu, huwezi kukiona. Sasa utajiuliza kauli hii ina matumizi gani kwenye biashara yako. Na ukweli ni kwamba, kauli hii ina kila kitu kuhusu wateja wa biashara yako. Kuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz