MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1326; Maisha Yako Yote Ni Mabadiliko, Kuwa Tayari…
Watu huwa wanasema kuna siku kubwa tatu kwenye maisha ya mtu, siku ya kuzaliwa, siku ya kuoa au kuolewa na siku ya kufa. Kwa uelewa wa kawaida, hizi ndiyo siku kubwa zinazobadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Lakini kwa upande wa maisha ya mafanikio, kila siku ambayo mtu anaishi,