BIASHARA LEO; Usitawanye Nguvu Zako Kwa Yasiyo Muhimu…

By | August 19, 2018
Kuna watu wamekuwa wanaanzisha biashara, mwanzoni inaonekana kuwa na mafanikio makubwa, lakini haichukui muda inashindwa au hata kufa kabisa. Kinachotokea ni kwamba mtu anakuwa ameiona fursa, na anakuja na wazo la biashara ambalo linatoa suluhisho kwenye changamoto au uhitaji fulani. Basi wazo hilo linakuwa la kipekee na mafanikio yanaanza kuonekana.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz