UKURASA WA 1327; Lengo Ni Kupanda Ngazi Ya Juu Zaidi…

By | August 19, 2018
Wale wanaosema kwamba mafanikio au fedha hazileti furaha, kuna kitu wanakuwa hawajakielewa tangu mwanzo wa safari. Furaha kwenye maisha siyo mwisho wa safari, bali ni safari yenyewe. Usifikiri kwamba kama unaanzia chini, huna kitu basi ukishapata unachotaka utakuwa na furaha sana. Kwa sababu kwenye kupata hakuna mwisho, na hakupaswi kuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz