MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Moja Kwa Ajili Ya Wote…
Kila mfanyabiashara huwa anapenda kuwa na wateja wengi awezavyo, kwa sababu ni kupitia wateja ndiyo biashara inatengeneza faida. Hivyo ndoto ya kila mfanyabiashara ni kuwa na wateja wengi zaidi, na wengi wanapoanzisha biashara, huwa wanalenga kumuuzia kila mtu. Hivyo hutawakuta wakiweka mipango ya kuwafikia wateja wa aina fulani, wao watakuwa