UKURASA WA 1328; Usikimbie Kufanya Maamuzi…

By | August 20, 2018
Moja ya changamoto kubwa kwenye kufikia mafanikio ni kuogopa kufanya maamuzi. Watu wengi hukwepa kufanya maamuzi kwa sababu wanaogopa kukosea, au wanaona labda wakifanya maamuzi sasa watakosa vizuri zaidi vinavyokuja baadaye. Wengine hukwepa kufanya maamuzi kwa kujiona bado hawajawa tayari, hivyo kuendelea kuiandaa mpaka pale watakapojiona wamekuwa tayari. Ukweli ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz