UKURASA WA 1329; Kama Tayari Unajua Kila Kitu, Jua Hakuna Unachojua…

By | August 21, 2018
Kipimo kizuri cha watu ambao hawafanikiwi, watu ambao hawawezi kupiga hatua zaidi kwenye maisha yao ni ujuzi wa mambo. Watu ambao hawajafanikiwa tayari wanajua kila kitu. Waoneshe kitabu na waambie hiki ni kitabu kizuri kwako kusoma. Watakuambia labda hawana muda au hakuna jipya wanaweza kujifunza kwenye kitabu hicho. Watakuambia waziwazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz