MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1330; Uhusiano Wa Kushindwa Na Mafanikio Makubwa…
Watu wengi hufikiri maisha ni kufanikiwa au kushindwa, na hivyo hutumia kila namna kukwepa kushindwa, wakiamini kama hawashindwi basi wanafanikiwa. Na hakuna uongo mwingine duniani unaozidi huo. Siyo kweli kwamba kama hushindwi basi unafanikiwa. Kama hushindwi maana yake hujaribu mambo makubwa, mambo yaliyo nje ya uwezo wako. Na kama hujaribu