MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Siyo Idadi Ya Wateja, Bali Ubora Wa Huduma…
Kipimo cha wengi kwenye ukuaji wa biashara kimekuwa ni idadi ya wateja wanaokuja kwenye biashara hiyo. Hivyo mfanyabiashara anapoona wateja wanaokuja ni wengi, anaona biashara unakuwa na ina mafanikio makubwa. Na hili ndiyo linalopelekea wafanyabiashara wengi kushusha bei ya bidhaa au huduma zao, ili kuvutia wateja wengi zaidi. Kwa sababu