UKURASA WA 1331; Ni Watu Kama Wewe…

By | August 23, 2018
Tunapohitaji kushirikiana na wengine kwenye safari yetu ya mafanikio, huwa tunasahau kwamba wale ni watu kama sisi. Huwa tunasahau hilo na kuona labda ni watu wasioeleweka au wasioweza kutuelewa au kufanya kile tunachotaka. Tunasahau kwamba ni watu kama sisi, ambao wana mahitaji kama ambavyo tunayo sisi, ila tu yanatofautiana kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz