BIASHARA LEO; Mpe Mteja Sababu Za Kutosha Za Kununua Kwako, Na Sasa.

By | August 24, 2018
Unapochagua mteja wa biashara yako, na ukaona kabisa ana sifa zote za wateja wa biashara yako. Yaani ana uhitaji ambao biashara yako inaweza kumtimizia na pia anaweza kumudu gharama unayotoza. Kama mteja huyo hatanunua, basi kosa litakuwa lako na siyo la mteja. Mteja, hasa mpya, hatakuwa tayari kununua kwako mpaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz