UKURASA WA 1332; Epuka Kugeuzwa Bidhaa Kwenye Dunia Ya Kelele…

By | August 24, 2018
Mtu mmoja aliwahi kusema maneno makali sana kuhusu mitandao ya kijamii. Alisema kwa mitandao ya kijamii ambayo watu wanatumia bure, wasichojua ni kwamba wao watumiaji ndiyo bidhaa ambayo mitandao hiyo inauza. Kwa sababu mitandao hiyo inaingiza fedha kwa njia kuu moja, ambayo ni matangazo. Na njia pekee wanayopata fedha kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz