MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1333; Epuka Sumu Hii Pale Unapoweka Mipango Na Kuanza Kuifanyia Kazi…
Pamoja na kuwa na mipango mizuri ambayo mtu unaifanyia kazi, matokeo hayatakuja kama ulivyofikiri yanakuja. Kuna vitu vingi sana vitakwenda tofauti na unavyotegemea wewe. Pamoja na kujua kwamba vitu vitakwenda tofauti, pamoja na kujua kwamba kuna uwezekano ukawa umekosea na pia upo uwezekano wa kushindwa, kuna kosa moja kubwa sana