UKURASA WA 1334; Hili Jukumu Lako Usitegemee Walifanye Wengine…

By | August 26, 2018
Huwa tunapenda sana kukubalika na kila mtu. Tunapenda watu watukubali kwa vile tulivyo na kwa kile tunachofanya. Lakini mara nyingi hilo limekuwa halitokei, siyo watu wote wamekuwa wanatukubali kwa vile tulivyo. Hasa wale ambao tunataka sana watukubali, ndiyo kabisa hawana muda na sisi. Kutegemea wengine wakukubali ndiyo uweze kufanya kitu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz