MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Sehemu Tatu Pekee Za Kuweka Nguvu Zako Kibiashara…
Kuna vitu vingi sana ambavyo wafanyabiashara wengi huwa wanafanya. Lakini sehemu kubwa ya vitu hivyo ni kupoteza muda na nguvu pia. Unaweza kuwaona watu wapo ‘bize’ sana, wanakazana kufanya kila kitu, lakini ukifanya tathmini ya yale wanayofanya, unagundua kwamba hayakuwa na umuhimu mkubwa. Kitu chochote unachofanya kwenye biashara yako, lazima