MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Matumizi Bora Ya Fedha Ya Matangazo Kwenye Biashara Yako…
Nimekutana na dhana hii ambayo nimeona ni nzuri sana kuijaribu kwenye biashara. Kama una biashara ambayo unahitaji kutangaza ili kuwafikia wengi, badala ya kutumia fedha kwenye matangazo, tumia fedha hiyo kwenye bidhaa au huduma ambazo unatoa kwa watu. Yaani ukishajua kiasi cha fedha unayopaswa kulipa kwenye matangazo ni kiasi gani,