MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1345; Acha Ushahidi Uongee Wenyewe…
Ni rahisi sana kudanganya kwa maneno, ni vigumu mno kudanganya kwa vitendo. Hivyo kama unataka kuujua ukweli, usisikilize watu wanasema nini, bali angalia watu wanafanya nini. Ushahidi huwa unaongea wenyewe hata kama umechelewa. Tumia hili kwa pande mbili. Upande wa kwanza, pale unapotaka kujua ukweli kuhusu wengine, angalia zaidi wamefanya