MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1346; Gharama Ya Kuwa Na Ufahamu Na Utambuzi…
Mtoto mdogo anaweza kufanya chochote anachotaka kufanya, bila ya kuwa na hofu au kufikiria matokeo yatakuwaje. Hii ni kwa sababu mtoto huyo anakuwa hana ufahamu na utambuzi wa kina juu ya kile anachofanya. Kadhalika mpumbavu anaweza kufanya kitu ambacho wengine wanabaki midomo wazi lakini yeye hana wasiwasi. Hiyo ni kwa