MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1347; Kinachozalisha Msongo Wa Mawazo…
Msongo wa mawazo ni tatizo linalowasumbua wengi. Na kwa dunia ya sasa, dunia inayokwenda kwa kasi na hakuna mwenye muda, msongo wa mawazo unaongezeka kila siku na kwa wengi. Lakini upo mfumo wa maisha ambao unachochea sana msongo wa mawazo kwa wengi. Mfumo huo ni kutokuwa na taarifa sahihi juu