MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Kuwapa Wateja Uhakika Wa Kile Unachowauzia…
Mbinu zote za kuwashawishi wateja kununua zimeshatumiwa sana kiasi kwamba wateja hawajui waamini kipi kati ya vingi wanavyoambiwa na kila mfanyabiashara. Sifa zote za bidhaa au huduma ambazo watu wanauza zimeshaelezwa mpaka mteja anakuwa na wasiwasi kama kweli sifa zinazoelezwa zipo. Lakini kuna kitu kimoja ambacho kinamshawishi kila mteja na