MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TABIA NA SIFA…
“Be more concerned with your character than with your reputation. Your character is what you really are, while your reputation is merely what others think you are.” – Coach John Wooden. AMKA Mwanamafanikio, AMKA kwenye siku hii nyingine nzuri sana na ya kipekee kwetu. Siku ambayo tumepata nafasi nyingine nzuri