MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1361; Una Kila Unachohitaji Ili Kuanza…
Watu wengi wamekuwa wanakwama kwenye kuanza. Na kikubwa ambacho wengi wanasema kinawakwamisha ni kukosa kila wanachohitaji ili waweze kuanza. Watu wengi wanafikiri hawawezi kuanza mpaka wawe na kila wanachokitaka. Kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa hali yoyote ile. Ni vigumu sana kupata kila unachotaka, hasa mwanzoni. Hivyo njia pekee ya kuanza,