MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1367; Umekalia Mgodi Wa Dhahabu Hapo Ulipo…
Upo usemi kwamba nyasi za jirani huwa zinaonekana ni za kijani kuliko nyasi zetu wenyewe. Yaani kama kwenye uwanja wako umepanda nyasi, na jirani yako naye amepanda nyasi, ukiangalia nyasi za jirani yako utaona zinaendelea vizuri kuliko zako. Unaweza kuona labda jirani huyo ana bahati na wewe huna bahati. Lakini