MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Kusema Hapana Kwa Fursa Nzuri…
Kitu kimoja ambacho kinapelekea baadhi ya biashara zinazoanza vizuri na kukua kisha zinaanguka vibaya, ni wafanyabiashara kushindwa kusema hapana kwa fursa nzuri zinazojitokeza mbele yao. Iko hivi, unaanza biashara ukiwa na maono fulani kwenye akili yako. Unataka biashara yako iwe ya aina fulani, iwasaidie watu wa aina fulani na ikupe