MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1369; Kadiri Unavyosubiri, Ndivyo Inavyokuwa Vigumu Kuanza…
Watu wengi wamekuwa wanapata mawazo mazuri sana, mawazo ambayo kama watayatekeleza basi maisha yao yatakuwa bora sana. Changamoto ni kwamba wengi wamekuwa hawatekelezi mawazo mazuri wanayokuwa nayo, wamekuwa hawachukui hatua kuyageuza mawazo hayo kuwa uhalisia. Na kinachowazuia wengi kuchukua hatua kwenye mawazo yao, ni kusubiri. Pale unapopata wazo, unakuwa na