MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1371; Gharama/bei Na Thamani.
Hivi ni vitu viwili ambavyo ni tofauti sana, lakini watu wengi wamekuwa hawavielewi kwa undani, na hilo linawapelekea kuingia kwenye matatizo makubwa. Watu wengi wanaponunua au kuuza vitu, huwa wanakazana kuangalia gharama na bei, na siyo kuangalia thamani. Wanapoangalia gharama, wanafanya maamuzi kwa namna ambavyo wanaona wanaweza kumudu gharama hizo,