1375; Sababu Mbili Zinazopelekea Ufanye Maamuzi Mabaya Yanayokugharimu Baadaye.

By | October 6, 2018
Uko hapo ulipo sasa, kwa sababu ya maamuzi uliyofanya siku za nyuma, kwa kujua au kutokujua. Na maamuzi unayoyafanya leo, yatakugharimu kwa siku zijazo, iwe unajua au hujui. Watu wengi wamekuwa wanafanya maamuzi mabaya, ambayo wakati wa kuyafanya hayaonekani kuwa mabaya, ila mpaka baadaye ndiyo madhara ya maamuzi hayo yanaonekana.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz