1376; Jifunze Kufunga Milango Ya Fursa…

By | October 7, 2018
Watu wengi wanapoianza safari ya mafanikio, na kupata mafanikio kiasi, mafanikio hayo hugeuka na kuwa sumu kwa mafanikio makubwa zaidi kwenye maisha yao. Kinachotokea ni kwamba, kwa kuwa wamepata mafanikio kiasi, basi wanajisahau na kuona sasa wanaweza kufanya kila kitu. Hivyo pale inapojitokeza fursa yoyote ile, wanasema ndiyo haraka bila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz