1377; Usiingie Kwenye Mchezo Kabla Ya Kujua Sheria Za Mchezo…

By | October 8, 2018
Kila mchezo una sheria zake, ambazo lazima kila anayeshiriki azifuate ili mchezo uweze kwenda vizuri. Kwenye mchezo kama mpira wa miguu, ukishika mpira kwa mkono ni kosa kubwa litakalopelekea upate adhabu kali, wakati kwenye mpira wa mikono kushika mpira kwa mikono ni kitu cha kawaida. Kwenye maisha yako pia, kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz